Mkuu wa mashtaka Keriako Tobiko amewaangiza maafisa wa polisi na idara za
kubambana na ufisadi kuchunguza madai ya ufisadi kuhusu uuzaji wa bundi za euro
na kuwasisirisha ripoti kwa muda wa siku kumi. Tobiko amesema maafisa hao
wanafaa kutadhimini stakabadhi muhimu na kuwasilisha ushahidi kuhusu madai
yanayoibuliwa, haya yamejiri wakati wizara ya fedha ikisema muungano wa code
una uhuru wa kuchunguza jinsi fedha zilizotokana na uuzaji wa bundi ya euro
zilivyo tumika. Waziri Henry Rotiich amesema kwamba wizara hio imemwalika
kinara wa Code Raila Odinga kwenye ofisi zake Ijumaa saa nne asubuhi ili
kuchukua stakabadhi kisha kuzichunguzaViongozi wa muungano wa Cord, walimtaka
Rais Uhuru Kenyatta kuacha hasira serikali yake inapotakiwa kujibu maswali
kuhusu kashfa za ufisadi.
https://soundcloud.com/eyereen-931981221/02codemp3
Walisema kwamba wako tayari kutoboa
mengi zaidi kuhusu kashfa za ufisadi serikalini na hasa pesa za mkopo wa
dhamana wa Euro zilivyoporwa.“ Bw Rais hasira ni hasara. Meza hasira yako na
uoongoze vita dhidi ya ufisadi ambao
ndio unatatiza serikal yako.” Alisema kiongozi wa Cord Raila Odinga.
https://soundcloud.com/eyereen-931981221/02codemp3



