7-10am Funniest
Campus Breko
Kikosi kikubwa! Moto wa kuotea mbali!! Mchanganyiko wa
kicheko,siasa, muziki bomba wa afrika na kote duniani!!!
10-1pm Mtandao Wa Kazi
Fahamu umuhimu wa kuchapa kazi, jikoni, kimapenzi hadi
kibiashara!
2-4pm Tuko
Baze
Two hours za mziki wa reggae, roots, culture na riddim back
to back...heheh!! Awoooh!!!Kutoka kwa wasanii wa humu nchini na wa kimataifa. Puuullll
upppp!!!
4-7pm The
Drive
Hehehe!! Sasa hapa ndo mambo kwisha...utapata special doze ya
kukutuliza tu baada ya siku ndefu! Ni story tupu na
vichekesho!
8-11pm Burudani Mashariki
Burudani kabambe,100% boiling point
na umbea wa wasanii wa kutoka africa mashariki, marequest, kugoteana, countdown
na mixx za dj hb &redbone, noma sana!! Yote tisa kumi ni kwamba,
mapenzi yapo hewani, kuzama kutoa ama kupika malenge kiustarabu...hehehee!!!! Kudunda
na kuganga vipaji ni lazima!!!!
11-1pm Late
Night Breeze
Pata mchumba, imarisha uhusiano wako na mpeziwo, jua njia za
kipekee za kumutosheleza na kumfanya atake "malenge"zaidi.
5-7am Baraka Za Asubuhi
Jijenge na kujisafisha kiroho na muziki wa gospel kwenye baraka za
asubuhi
No comments:
Post a Comment