IRENE NGINA 2/12/2015
Picha kwa hisani ya standard
Zaidi ya familia sitini zimesalia bila makao katika kijiji
cha kaptembo huko Nakuru, baadaya nyumba zao kusombwa na mafuriko. Familia hizo
sasa zimetafuta makao mbadala, katika darasa za shule, huku wakitoa wito kwa serikali
kuwapa msaada.
Wakiongea na kundi la wanahabari huko Nakuru, wamemtaka
gavana kinuthia mbugua, kutumia fedha alizotangaza kutegwa kukabiliana na el nino kutatua hali hio.
https://soundcloud.com/eyereen-931981221/mafuriko-nakurump3

No comments:
Post a Comment