Sharon Kutto
Kwa hivyo ataikosa mechi yao ya kesho dhidi ya Stock City labda utokee muujiza adhabu yake ilegezwe.
Picha kwa hisani ya BBC
Shirikisho la soka la uingereza
limeitupilia mbali rufaa ya Mourinho aliyoikata kupinga kufungiwa
kuingia uwanjani kesho na kulipa faini ya pauni milioni hamsini.
Alipewa adhabu hiyo baada ya kusema kuwa marefa walikuwa wanaogopa kuipa Chelsea penalty ndiyo maana akafungwa na Southampton.Kwa hivyo ataikosa mechi yao ya kesho dhidi ya Stock City labda utokee muujiza adhabu yake ilegezwe.
No comments:
Post a Comment