Leah Wanjiru
Photo courtesy of Safaricom
https://soundcloud.com/user-576496317/leah-voice
Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imeshirikiana na benki nane humu nchini kuimarisha huduma zake za lipa na M-pesa.Mpango huo utawawezesha wateja wa Safaricom kuweka pesa zao kwenye akaunti ya benki moja kwa moja kutoa kwenye vituo vya lipa na M-pesa hadi akaunti zao za benki,hili ikiwa ongezeko kutoka shilingi milioni tano.
Afisa mtendaji wa Safaricom Bob Collymore amesema ushirikiano huo utapunguza muda wa kuhamisha fedha chini ya mpango huo.
Benki ambazo zimetia saini mkataba huo ni KCB,Equity,Jamii Bora,Chase Bank,Cooperative,Diamond Trust na ile ya Consolidated.

No comments:
Post a Comment