By Sharon Kutto

Picha kwa hisani ya Supersport
https://soundcloud.com/deejay-psalms/manchester-vs-cska
Leo usiku uwanjani Old Trafford jijini Manchester United watacheza na klabu ya urusi CSKA Moscow katika mechi ya marudiano ya kundi B la UEFA Champions League.Wiki mbili zilizopita timu hizo mbili zilitoka sare 1-1 huko moscow na hii ni mechi ya nne katika kundi B ambalo hadi sasa timu zozote mbili kati ya hizo nne zinaweza kufuzu kwenda raundi ya mtoano ya timu 16.

No comments:
Post a Comment