Picha kwa hisani ya wikipedia
https://soundcloud.com/shaz-kutto/spoti-09112015
Sharon Kutto
Kocha wa timu ya taifa ya soka Cape Verde Rui Aguas ametoa orodha ya wachezaji 22 ambao watamenyana timu ya taifa Harambee Stars, katika michuano ya raundi ya pili ya kufuzu katika dimba la dunia mwaka 2018, ambapo mechi ya kwanza itasakatwa katika uwanja wa Nyayo nchini Kenya. Timu hiyo kwa sasa iko kambini Portugal na kati ya wachezaji hao 22 wotw watawasili Kenya hapo kesho ili waweze kuzoea hali ya anga huku wakingoja mtanange huo siku ya ijumaa.
No comments:
Post a Comment